"If I Let You Go" Ni wimbo kutoka kwa Westlife, Ulitoka nchini Uingereza tarehe 9 Agosti 1999, kama kibao cha pekee, maarufu kama 'singo'. Wimbo huo ndio ulikuwa wimbo wa kumi na nne kati ya nyimbo pekee za Westlife kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza.
Wimbo huu, ulichezwa moja kwa moja katika mashindano ya urembo ya dunia mwaka 1999.
Wimbo huu uliweza kuuza zaidi ya nakala 200,000 kwa upande wa Uingereza peke yake.
Mpangilio wa Nyimbo
CD Ya kwanza
- If I Let You Go (Radio Edit) - 3:40
- Try Again - 3:35
- Enhanced CD
CD Ya pili
- If I Let You Go (Radio Edit) - 3:40
- If I Let You Go (Extended Version) - 6:09
- Interview with Andi Peters - 7:24
CD Ya nchini Australian
- If I Let You Go (Radio Edit) - 3:40
- Try Again - 3:35
- If I Let You Go (Extended Version) - 6:09
- Enhanced CD
Mtiririko wa Matamasha
- Chati ya Mwishoni mwa mwaka 1999
Nchi
|
Ilipata Nafasi
|
Australia
|
95
|
Wafanyakazi
Mapato ya nyimbo
If I Let You Go
|
Iliyondikwa na
|
: Jörgen Elofsson, David Kreuger, Per Magnusson
|
Bass
|
: Tomas Lindberg
|
Recorded By (Strings)
|
: Bernard Löhr
|
Try Again
|
Written By
|
: Jorgen Elofsson, David Krueger, Per Magnusson
|
Fiddle
|
: Ulf Forsmark
|
Whistle (Tin Whistle)
|
: Jan Bengtsson
|
Whistle (Tin Whistle)
|
: Jan Bengtsson
|
Recorded By (Strings & Tin Whistle)
|
: Ronnie Lahti
|
Mastered By
|
: Björn Engelmann
|
|
Kuteneza CD
Arranged By (Strings)
|
: Henrik Janson, Ulf Janson
|
Arranged And Programmed By
|
: David Kreuger, Per Magnusson
|
Mixed By
|
: Bernard Löhr
|
Artwork By (Design)
|
: Root
|
Photography
|
: Nicole Nodland
|
Acoustic Guitar, Guitar (Electric)
|
: Mats Berntoft
|
Keyboards
|
: Per Magnusson
|
Backing Vocals (Additional)
|
: Anders von Hofsten (If I Let You Go), Andreas Carlsson (Try Again)
|
Other (Management)
|
: Louis Walsh, Ronan Keating
|
|
Viunga vya Nje
|
---|
|
Albamu | |
---|
Albamu za kushukuru na kuridiwa | |
---|
Albamu za Vibao Vikali | |
---|
Albamu za kompilesheni | No. 1 Hits and Rare Tracks (2000) • Released (2005) |
---|
Ziara za Live na DVD | |
---|
Muziki na Makala ya DVD | The Westlife Story • Flying Without Wings Karaoke • Coast To Coast - Up, Close and Personal • Uptown Girl • World Of Our Own • Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 • Westlife - The Complete Story • Back Home • The Karaoke Collection |
---|
Tawasifu | Westlife - Our Story |
---|
Makala Zinazohusiana | |
---|