Back Home |
|
Studio album ya Westlife |
Imetolewa |
Novemba 5, 2007 (2007-11-05) (See release history) |
Imerekodiwa |
2007 London, Ufalme wa Muungano Stockholm, Sweden Los Angeles, USA |
Aina |
Pop, Pop-Rock, Dance-Pop, R&B, Electropop |
Urefu |
47:29 |
Lugha |
Kiingereza |
Lebo |
Sony BMG |
Tahakiki za kitaalamu |
|
Wendo wa albamu za Westlife |
|
Single za kutoka katika albamu ya Back Home |
- "Home"
Imetolewa: 29 Oktoba 2007
- "Us Against The World"
- "Something Right"
Imetolewa: 4 Aprili 2008 (Southeast Asia, Australia, New Zealand, Europe & South Africa only)
|
Back Home ni albamu ya nane katika jumla ya albamu za kundi la Westlife ambayo ilitolewa tar. 5 Novemba 2007. Albamu hii inajumuisha nyimbo mpya na baadhi ya nyimbo zimerudiwa. Orodha ya nyimbo katika albamu hii ilitolewa katika tovuti yao ya Westlife tarehe 3 Oktoba 2007. Tarehe rasmi ya kutolewa kwa albamu ilisogezwa mbele na kuwa tarehe 5 kutoka tarehe ya mwazo na kuwa tarehe 12 Novemba 2007. Albamu hii imeuza zaidi ya nakala milioni tano dunia nzima. Albamu hii ilifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya mzuku ya Uingereza ya katika wiki ya kwanza ya kutolewa kwake, na kuuza nakala zaidi ya 132, 000 katika wiki ya kwanza, na kuendelea kukaa katika nafasi ya kwanza kwa wiki nane mfululizo.[1][2][3]
Pia ilishika nafasi ya tano katika albamu zilizoongoza kwa mauzo nchini Uingereza kwa mwaka 2007 kwa kuuza nakala 854,344. Single ya kwanza kutoka katika albamu hii ni wimbo wa kurudiwa kutoka kwa Michael Bublé ("Home"), ulioimbwa kwa mara ya kwanza na Michael Bublé, na ulitoka tar. 29 Oktoba 2007[4] The song debuted at #3 on the official UK singles chart.[5].
"Us Against The World", ni wimbo kutoka kwa kunidi la Westlife ambao ulikuwa maalumu kwa ajili ya mashabiki wa Westlife dunia nzima, ulitoka kama single ya pili kutoka albamu hii mnamo tar. 3 Machi nchini Uingereza na Ireland.
Wakati huohuo, wimbo wa "Something Right", ambao wenyewe ulitolewa na spidi ya juu kama single ya pili katika bara la Asia na Ulaya.[6] Wimbo huu pia ulitolewa kama wimbo wa kupakua kwenye wavuti nchini Ireland. Wimbo wa "When I'm With You", wenye miondoko ya R&B, uliweza kuifanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio nchini Indonesia japokuwa haukutolewa kama single.[7]
Nyimbo nyingine za kurudia kutoka katika hii ni pamoja na
"Have You Ever", wa Diane Warren ambao awali ulirekodiwa na Brandy. "All I Ask Of You", Opera ya Sarah Brightman na Michael Ball uliharibika na hivyo wimbo wa "I'm Already There" wa Lonestar kuwa badala yake.
Orodha ya nyimbo
Kimataifa
Na.
|
Jina
|
Walioshiriki
|
Urefu
|
1
|
Home
|
Choir - Tuff Session Singers, The
Organ - Dave Arch
Recorded By [Drums, Strings] - Ren Swan
Written-By - Alan Chang, Amy Foster-Gillies, Michael Bublé
|
3:28
|
2
|
Us Against the World
|
Mixed By - Niklas Flyckt
Written By - Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha
|
4:02
|
3
|
Something Right
|
Mixed By - Niklas Flyckt
Written By - Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha
|
3:14
|
4
|
I'm Already There
|
Arranged By [Backing Vocals] - Atlas, Emil Heiling, Quiz & Larossi
Engineer [Choir] - Ian Agate
Keyboards, Programmed By - Andreas Quiz Romdhane & Josef Larossi
Producer, Arranged By, Mixed By, Engineer - Quiz & Larossi
Strings - Stockholm Session Orchestra
Written by - Gary Baker, Frank J. Myers, Richie McDonald
|
4:18
|
5
|
When I'm With You
|
Engineer - Tim Lewis
Engineer [Assistant] - Anna Ralph
Written by - Jordan Omley, Louis Biancaniello, Michael Mani, Sam Watters
|
4:12
|
6
|
Have You Ever
|
Written by - Diane Warren
|
4:33
|
7
|
It's You
|
Mellotron - Steve Mac
Organ [Hammond] - Dave Arch
Written by - Steve Mac, Wayne Hector
|
4:11
|
8
|
Catch My Breath
|
Written by - Steve Mac, Wayne Hector
|
3:18
|
9
|
The Easy Way
|
Mixed By - Ronny Lahti
Written by - Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha
|
3:35
|
10
|
I Do
|
Organ [Hammond] - Dave Arch
Written by - Steve Mac, Wayne Hector, Reid
|
4:30
|
11
|
Pictures in My Head
|
Mixed By - Fredrik Andersson
Written by - Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha
|
4:17
|
12
|
You Must Have Had a Broken Heart
|
Conductor [Strings] - Ulf And Henrik Janson
Keyboards - Jörgen Ingeström , Per Magnusson
Mixed By, Engineer - Fredrik Andersson
Producer, Arranged By, Programmed By - David Kreuger, Per Magnusson
Strings - Stockholm Session Orchestra
Written by - Jörgen Elofsson, Nicky Chinn
|
4:06
|
13
|
Home (Soul Seekerz Remix - Radio Edit)
|
Only Included On The Japanese Version Of The Album
|
5.46
|
14
|
Home (Video)
|
Only Included On The Japanese Version Of The Album
|
3.28
|
Historia ya kutolewa
Nchi
|
Tarehe ya kutolewa
|
Duniani
|
Novemba 5, 2007 (2007-11-05)
|
Poland
|
Februari 11, 2008 (2008-02-11)[8]
|
Chati
Viungo vya Nje
Marejeo
|
---|
| Albamu | |
---|
Albamu za kushukuru na kuridiwa | |
---|
Albamu za Vibao Vikali | |
---|
Albamu za kompilesheni | No. 1 Hits and Rare Tracks (2000) • Released (2005) |
---|
Ziara za Live na DVD | |
---|
Muziki na Makala ya DVD | The Westlife Story • Flying Without Wings Karaoke • Coast To Coast - Up, Close and Personal • Uptown Girl • World Of Our Own • Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 • Westlife - The Complete Story • Back Home • The Karaoke Collection |
---|
Tawasifu | Westlife - Our Story |
---|
Makala Zinazohusiana | |
---|
p
|