Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Da Emperor

Fasasi Mobolaji Gaius, anayejulikana kama Da Emperor, ni rapa wa asili ya Kiafrika kutoka Nigeria, pia ni muigizaji na mtunzi wa nyimbo.[1][2] Ana asili ya kifamilia kutoka Jimbo la Ogun, Nigeria.[3]

Anaimba kwa lugha yake ya asili ya Kiyoruba, na pia hutumia Kipijini na Kiingereza.[4]

Da Emperor ametunga nyimbo na wasanii kama Gabriel Afolayan, Small Doctor, na Oritse Femi.[5]

Alitoa nyimbo yake ya pili rasmi iitwacho "Firewood", ambayo ailimshirikisha Oritse Femi. Hii ilifuatwa na nyimbo kama vile "Shake it" na "I'm a Sinner".[6][7]

Mnamo tarehe 3 Septemba 2021, Da Emperor alipewa wadhifa wa Balozi wa Utalii na Bodi ya Utalii ya Jimbo la Bauchi.

Marejeo

  1. "DA EMPEROR: WHY I'M INTO INDIGENOUS RAP – The Nation Nigeria". The Nation Nigeria. Iliwekwa mnamo 2016-04-04.
  2. "Da Emperor Spits Firewood".
  3. Gbenga Bada (28 Machi 2016). "Da Emperor: Rapper says he's king over rap kings". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Aprili 2016. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2016.
  4. "Why I sing indigenous rap – Da Emperor". Newswatch Times (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-16. Iliwekwa mnamo 2016-03-13.
  5. "Da Emperor Drops Firewood Ft. Oritshe Femi". Channels Television. Iliwekwa mnamo 2016-03-13.
  6. "I Am A Sinner Archives". CityPeople Magazine Nigeria. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-24. Iliwekwa mnamo 2016-03-20.{{cite web}}: CS1 maint: unfit URL (link)
  7. "Da Emperor Drops New Video, I'm A Sinner". Channels Television. Iliwekwa mnamo 2016-03-13.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Da Emperor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya