Small Doctor
|
Amezaliwa
|
Oktoba 19 1996 (1996-10-19) (umri 28)
|
Asili yake
|
Lagos, Nigeria
|
Kazi yake
|
Mwimbaji
|
Miaka ya kazi
|
2012–mpaka sasa
|
Studio
|
OIT Dynasty Records
|
Adekunle Temitope (alizaliwa 19 Oktoba 1996) anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Small Doctor ni msanii wa Muziki wa Afro-pop nchini Nigeria.[1][2] Mnamo mwaka 2018 nyimbo yake ya "Penalty" ilimpa ushindi wa tuzo ya "Best Street Hop".[3][4] Nyimbo zake nyingi hutumia lugha ya kiingereza na kiyoruba.
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Small Doctor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|