Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Chloe Arthur

Arthur mnamo 2022

Chloe Susan Arthur (alizaliwa 21 Januari 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uskoti, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Crystal Palace F.C, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL). na timu ya taifa ya Uskoti.[2]

Marejeo

  1. https://web.archive.org/web/20190527124414/https://tournament.fifadata.com/documents/FWWC/2019/pdf/FWWC_2019_SQUADLISTS.PDF
  2. "Northern Ireland 0-4 Scotland | Friendly | Scottish FA". www.scottishfa.co.uk. Iliwekwa mnamo 2024-09-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chloe Arthur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya