Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Vinh Long

Vĩnh Long

Vĩnh Long (thành phố Vĩnh Long) ni mji katika kusini mwa Vietnam na makao makuu ya wilaya yenye jina hili. Idadi ya wakazi ni 147,039 ambao ni mchanganyiko wa Wavietnam, Wachina na Wakhmer. Mji uko ndani ya delta ya mto Mekong na usafiri mwingi ndani ya mji unafanywa kwenye njia za maji.

Kuna barabara moja inayounganisha Vinh Long na Mji wa Ho Chi Minh.

Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya