Tusamehe (Filamu)Tusamehe ni filamu ya Kiswahili yenye tafsiri za maandishi kwa Kiingereza, inayoeleza simulizi ya Bilantanya Moses Bakeyemba, mtaalamu wa masoko kutoka Tanzania aliye fanikiwa kuishi Marekani, ambaye anagundua kuwa ana virusi vya UKIMWI wakati mke wake tarajia mtoto wao wa kwanza[1]. Hadithi hii yenye kusisimua na kugusa hisia inaibua maswali ya kimaadili na uhamasishaji, ikionyesha makosa yanayoleta madhara makubwa kwa familia na marafiki zake huku akidhoofika taratibu kutokana na ugonjwa wa UKIMWI na kuomba msamaha[2]. Wakati huohuo, filamu inatoa mwanga juu ya usambazaji usio sawa wa UKIMWI duniani, hali iliyoacha watu wengi katika nchi zinazoendelea wakiwa wanyonge. Katika mateso yake, Bilantanya anatamani kuishi vya kutosha ili kushuhudia kuzaliwa kwa mtoto wake lakini je, maombi yake yatakubaliwa?[3]
Washiriki
Marejeo
|