Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Tumaini (filamu)

Tumaini ni filamu inayoelezea familia nchini Tanzania ambayo furaha yake iliharibiwa na UKIMWI. Wazazi wa familia hiyo walifariki na kuacha watoto watatu wakijilela wenyewe. Tumaini ni miongoni mwa watoto wa familia hiyo ambaye alijikuta akikua kutoka kuwa mtoto hadi mwanamke huku akilazimika kukua mapema na kuwalea ndugu zake.[1][2]

Marejeo

  1. Mugishagwe, Beatrix, Tumaini, Avodia Bahati, Msamiru Kaabuka, Godwin Kaduma, Abantu Visions, iliwekwa mnamo 2025-08-23
  2. Tumaini (2005) | MUBI (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2025-08-23
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya