Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Timothy C. Senior

Timothy Christian Senior (alizaliwa 22 Machi 1960) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Tangu mwaka 2023, amekuwa askofu wa Jimbo la Harrisburg, Pennsylvania. Kabla ya hapo, alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Philadelphia kuanzia 2009 hadi 2023, na pia kama gombera na baadaye chansela wa Seminari ya Mtakatifu Charles Borromeo, Pennsylvania.[1]

Marejeo

  1. "The Most Reverend Timothy C. Senior Named Twelfth Bishop of Harrisburg" (PDF). Diocese of Harrisburg. 25 Aprili 2023. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo Aprili 25, 2023. Iliwekwa mnamo Aprili 25, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya