The Score ni albamu mshindi wa Tuzo za Grammy ikiwa kama albamu bora ya R&B na hip hop iliotolewa na kundi la Fugees . Albamu imetolewa dunia nzima mnamo 13 Februari 1996 , imeifuata toleo lao la kwanza la mwaka wa 1994, Blunted on Reality . Tangu kutolewa kwa albamu, imepokea sifa nzuri sana kutoka katika vyombo vya habari vya muziki, na leo hii; imekuwa miongoni mwa albamu bora za Hip-hop zilizouza vizuri kwa muda wote kwa kuwa na mauzo zaidi ya milioni 18[ 10] .
Albamu ina mambo mengi, yaani, muziki umekuwa mbadala, hasa mabadiliko ya muziki wa hip hop mwishoni mwa miaka ya 1990. Miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kuchanganya athira za muziki wa reggae na soul ndani yake, sauti za kike na mistari ya kujijua inalenga matatizo ya kijamii hasa. Suala zima la utayarishaji lilikuwa likishughulikiwa na Fugees wenyewe na Jerry "Wonder" Duplessis , kwa msaada wa Salaam Remi , John Forté , Shawn King, na Diamond D . Mwimbaji mwalikwa kwenye albamu hii ni wale wanachama wa kundi la Outsidaz ' Rah Digga , Young Zee na Pacewon na vilevile Omega, John Forté, na Diamond D.
Orodha ya Nyimbo
#
Jina
Urefu
Mtayarishaji (wa)
Mwimbaji (wa)
1
"Red Intro"
1:52
2
"How Many Mics"
4:29
Wyclef Jean , Shawn King , Lauryn Hill , Pras , Jerry Duplessis
Intro na chorus: Wyclef Jean na Lauryn Hill
Mstari wa kwanza: Lauryn Hill
Mstari wa Pili: Wyclef Jean
Mstari wa tatu: Pras
3
"Ready or Not "
3:47
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
Chorus: Lauryn Hill
Mstari wa kwanza: Wyclef Jean
Mstari wa Pili: Lauryn Hill
Mstari wa tatu: Pras
4
"Zealots"
4:21
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
Chorus na Mstari wa kwanza: Wyclef Jean
Mstari wa Pili: Lauryn Hill
Mstari wa tatu: Wyclef Jean
Mstari wa Nne:Pras
5
"The Beast"
5:37
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
Mstari wa kwanza: Lauryn Hill
Mstari wa Pili, Tatu na Tano: Wyclef Jean
Mstari wa Nne: Lauryn Hill
Mstari wa Sita: Wyclef Jean
Mstari wa Saba: Pras
6
"Fu-Gee-La "
4:20
Salaam Remi
Mstari wa Kwanza: Wyclef Jean
Kiitikio na Mstari wa Pili: Lauryn Hill
Mstari wa tatu: Pras
Mstari wa Nne: Wyclef Jean
7
"Family Business"
5:44
Wyclef Jean, Lauryn Hill, John Forté, Pras, Jerry Duplessis
Mstari wa kwanza na Kiitikio: Omega
Mstari wa pili na Tatu: Wyclef Jean
Mstari wa Nne na Tano: Lauryn Hill
Mstari wa Sita: John Forté
Outro: Wyclef Jean na Lauryn Hill
8
"Killing Me Softly "
4:59
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
Intro: Wyclef Jean na Lauryn Hill
Imeimbwa na Lauryn Hill
9
"The Score"
5:02
Diamond D, Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
Mstari wa kwanza na wapili: Wyclef Jean
Mstari wa tatu: Pras
Mstari wa Nne: Lauryn Hill
Mstari wa Tano: Diamond D
10
"The Mask"
4:51
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
Chorus: Fugees
Mstari wa kwanza: Wyclef Jean
Mstari wa Pili: Lauryn Hill
Mstari wa tatu: Pras
11
"Cowboys"
5:24
Wyclef Jean, Lauryn Hill, John Forté, Pras, Jerry Duplessis
Chorus: Wyclef Jean
Mstari wa kwanza: Pacewon na Wyclef Jean
Mstari wa Pili: Lauryn Hill na Rah Digga
Mstari wa tatu: Pras na Young Zee
Mstari wa Nne: John Forté
12
"No Woman, No Cry "
4:33
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
13
"Manifest/Outro"
6:00
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
Mstari wa kwanza: Wyclef Jean
Mstari wa Pili: Lauryn Hill
Mstari wa tatu: Pras
Voice: DJ Red Alert
14
"Fu-Gee-La" (Refugee Camp remix)
4:24
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
John Forté, Lauryn Hill, Pras, Wyclef Jean
15
"Fu-Gee-La" (Sly na Robbie remix)
5:28
Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
John Forté, Lauryn Hill, Pras, Wyclef Jean, Akon
16
"Mista Mista"
2:42
Wyclef Jean
Wyclef Jean
17
"Fu-Gee-La" (Refugee Camp Global mix) (bonus track)
4:20
Single
Chati ilizoshika
Albamu
Mwaka
Albamu
Chati iliyoshika
Billboard 200
Top RnaB/Hip Hop Albums
1996
The Score
#1
#1
Single
Matunukio
Nchi
Matunukio
Mauzo
Austria
Platinum
20,000[ 11]
Kanada
5x Platinum
500,000[ 12]
Ulaya
5x Platinum
5,000,000 [1] Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine .
Ufaransa
1x Diamond
1,000,000
Ujerumani
Platinum
500,000[ 13]
Uingereza
4x Platinum
1,200,000[ 14]
Marekani
6x Platinum
6,000,000[ 15]
Marejeo
↑ O'Donnell, David. Review: The Score . BBC Music . Retrieved on 2009-09-21.
↑ Christgau, Robert. Review: The Score .
Robert Christgau . Retrieved on 2009-09-21.
↑ Bernard, James. Review: The Score Ilihifadhiwa 9 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine ..
James Bernard . Retrieved on 2009-09-21.
↑ Coker, Cheo. Review: The Score . Cheo Hodari Coker. Retrieved on 2009-09-21.
↑ Pareles, John. Review: The Score . John Pareles . Retrieved on 2009-09-21.
↑ The Score, Fugees, Q Magazine, 1996, Aprili, Q Magazine , p. 109.
↑ Nathan, Hoard. Ranking: The Score . Rolling Stone . Retrieved on 2009-09-21.
↑ Reenum, Reenum. Ranking: The Score Ilihifadhiwa 11 Januari 2009 kwenye Wayback Machine .. The Source. Retrieved on 2009-09-21.
↑ The Score, Fugees, Spin Magazine, 1996, Machi, Spin Magazine , p. 31.
↑ "Nakala iliyohifadhiwa" . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-10-09 .
↑ IFPI Austria - Verband der Österreichischen Musikwirtschaft
↑ "Canadian Recording Industry Association (CRIA): Certification Results" . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-10-09 .
↑ Bundesverband Musikindustrie: Gold/Platin-Datenbank
↑ The Bpi
↑ RIAA
Viungo vya nje
Albamu zao Albamu za Kompilesheni Single zao