Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Stephen Naidoo

Stephen Naidoo, C.Ss.R. (29 Oktoba 19371 Julai 1989) alikuwa mchungaji wa Waredentori na askofu mkuu wa Kanisa Katoliki.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Cape Town kuanzia 1984 hadi 1989.[1]

Marejeo

  1. "Naidoo, Stephen". Dictionary of African Christian Biography (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-09.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya