Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Stephen Gray

Stephen Gray (amezaliwa 1941 mjini Cape Town) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa ameandika mashairi na riwaya. Hadi 1992 alikuwa profesa wa Kiingereza katika chuo kikuu mjini Johannesburg.

Maandishi yake

  • Southern African Literature: An Introduction (1979)
  • Hottentot Venus and Other Poems (1979)
  • Caltrop's Desire (1980)
  • Love Poems: Hate Poems (1982)
  • Time of Our Darkness (1988)
  • Accident of Birth (1993)
  • Selected Poems: 1960-92 (1994)

Angalia pia

Marejeo

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephen Gray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya