Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Stephen Ferrando

Stephen Ferrando (28 Septemba 189521 Juni 1978) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki la Italia na mjumbe wa Wasalesiani wa Don Bosco. Alifanya kazi katika misheni za Asia baada ya kupadrishwa, na alipelekwa India ambapo aliongoza jimbo lake mwenyewe.

Pia alianzisha shirika lake la kitawa.[1]

Mnamo tarehe 3 Machi 2016, alitangazwa kuwa Venerable baada ya Papa Fransisko kutambua kuwa Ferrando aliishi maisha yenye ushujaa katika maadili yote.

Marejeo

  1. "Pope advances Causes of Elizabeth of the Trinity, 11 others". Vatican Radio. 4 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 6 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya