Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Sarah Robbins

Sarah Rebecca Robbins (alizaliwa Julai 30, 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka Montreal, Quebec na Kanada. Mara ya mwisho alichezea katika timu ya Portland Thorns FC ya Ligi ya Kitaifa ya Soka ya Wanawake (NWSL).[1][2]


Marejeo

  1. "Portland Thorns FC sign midfielder Sarah Robbins". Portland Thorns FC. Februari 26, 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-15. Iliwekwa mnamo 2024-11-25.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "NWSL team inks ex-Jayhawk". KU Sports.com. Machi 3, 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Robbins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya