Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Riccardo Ruotolo

Riccardo Ruotolo (15 Novemba 19281 Agosti 2012) alikuwa askofu wa jimbojina la Castulo na askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Manfredonia-Vieste-San Giovanni Rotondo, Italia.

Alipata kuwa padri mwaka 1951, alikuwa askofu mwaka 1995 na alitumikia kama mjumbe maalum wa Vatikani na rais wa Fondazione Casa Sollievo della Sofferenza, Opera di San Pio da Pietrelcina kwa kipindi cha miaka 25 (1978-2003).

Alistaafu mwaka 2004 na alifariki mwaka 2012.[1][2]

Marejeo

  1. "San Giovanni Rotondo, morto monsignor Riccardo Ruotolo". statoquotidiano.it. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "E' morto Mons. Riccardo Ruotolo". teleradiopadrepio.it. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya