Rayvanny
WasifuRayvanny alianza kujulikana kupitia wimbo wake wa Kwetu, na si muda mrefu baada ya hapo, Harmonize alitolea wimbo wake wa Bado. Baadaye, Rayvanny alitoa Natafuta Kiki na Sugu, ambazo ni nyimbo zilizotolewa kama ziada, hasa ukizingatia kuwa Sugu ilitumia biti ya wimbo wa Bow Wow uitwao What's My Name. Mambo yaliendelea na kuja wimbo Mbeleko, Shikwambi, Zezeta, na Kijuso, aliyoimba na Queen Darleen. Alitolewa pia Pochi Nene, aliyoimba na S2kizzy, na baadaye wimbo Mwanza, alioimba na msanii mwenzake Diamond Platnumz. Hata hivyo, wimbo Mwanza ulifungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kutokana na kukosa maadili mema, jambo lililosababisha kutofanya vizuri kwenye vyombo vya habari nchini Tanzania. Baada ya Mwanza kufungiwa, Rayvanny na Diamond walitolea wimbo Tetema, ambao ulipendwa na watu wengi na kufanikiwa kuwa na watazamaji wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa muda mfupi sana. Albamu
Nyimbo za Rayvanny 2021
Rayvanny pia 2021 alizindua albamu yake ya SOUND FROM AFRIKA, ambayo ilikuwa na nyimbo nyingi zinazoshirikisha wasanii wa kimataifa kama Kizz Daniel, Zlatan, Nasty C, na wengineo. Nyimbo za Rayvanny 2022
2023 Katika mwaka wa 2023, Rayvanny alitoa nyimbo kadhaa zilizopata umaarufu mkubwa katika tasnia ya muziki wa Bongo Flava. Baadhi ya nyimbo hizo ni pamoja na: "Nitongoze" akishirikiana na Diamond Platnumz. Wimbo huu ulipokelewa vyema na mashabiki na ulijumuishwa katika orodha ya nyimbo bora za Bongo Flava za mwaka 2023. "Mwambieni" akimshirikisha Macvoice. Wimbo huu ulitolewa chini ya lebo ya Next Level Music na ulipata umaarufu mkubwa. "Forever". Huu ni wimbo wa mapenzi ambao ulitolewa rasmi na video yake kupatikana kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki. "Down". Wimbo huu ulitolewa na video yake rasmi ilipokelewa vizuri na mashabiki. "Christmas". Wimbo huu ulitolewa wakati wa msimu wa Krismasi na ulilenga kusherehekea sikukuu hiyo. 2024 Katika mwaka wa 2024, Rayvanny ametoa nyimbo kadhaa mpya ambazo zimepata umaarufu mkubwa. Baadhi ya nyimbo hizo ni pamoja na:
Tanbihi
|