Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Rabindranath Tagore

Rabindranath Tagore (1909)

Rabindranath Tagore (7 Mei 18617 Agosti 1941) alikuwa mwandishi na mwanafalsafa kutoka nchi ya Uhindi. Tagore ni mwakilishi mkuu wa fasihi ya Kihindi ya kisasa. Pia alitafuta mawasiliano ya kitamaduni na Ulaya na Marekani ambako amesafari mara kadhaa. Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. [onesha uthibitisho]


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rabindranath Tagore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya