Robert Fitzgerald Diggs (amezaliwa 5 Julai1969) ni mshindi wa Tuzo za Grammy, akiwa kama mtayarishaji wa muziki, mtunzi wa vitabu, rapa, mwigizaji, mwongozaji, na mwandishiskrini kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama RZA. Yeye ni umbo mashuhuri kwenye muziki wa hip hip na pia anaonekana kama ndiyo kiongozi wa kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Ametayarisha karibuni albamu zote za Wu-Tang Clan vilvile kazi nyingi za ushirikia na kujitegemea za wana-Wu-Tang. Baadaye akaamua kujikita zaidi kwenye suala zima la kutengeneza vibwagizo vya filamu na ugizaji kwa ujumla.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu RZA kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.