Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Pixel 10

Google Pixel 10 ni simujanja ya mkononi iliyotengenezwa na kampuni ya Google. Ilizinduliwa rasmi tarehe 20 Agosti 2025 na kuanza kupatikana kwa wateja tarehe 28 Agosti 2025.[1] Ni sehemu ya mfululizo wa Pixel 10, ikijumuisha pia Pixel 10, Pro na Pixel 10 Pro XL,.[2]

Simu janja ya Pixel

Sifa muhimu

  • Chipu: Pixel 10 inatumia chipu ya Tensor G5, inayowezesha utendaji bora na matumizi ya akili bandia (AI) kwa usahihi zaidi.[3]
  • Kamera: Mfumo wa kamera tatu nyuma, ikiwa ni pamoja na lenzi ya telephoto, mara ya kwanza kwa Pixel 10.[4]
  • Betri: 4970 mAh, ikitoa muda mrefu wa matumizi.[5]
  • Muundo: Actua Display yenye mwangaza wa hadi 3,000 nits, rangi nne tofauti.[6]
  • AI na Vipengele vya Kipekee: Magic Cue kwa taarifa kutoka Gmail na Calendar, pamoja na Pro Res Zoom kwa picha za umbali mrefu.[7]

Tanbihi

  1. "Google Pixel 10 release date". Android Headlines. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Google Pixel 10 Pro & XL". Google Blog. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Google Pixel 10 Pro & XL". Google Blog. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Pixel 10". Wikipedia. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Google Pixel 10 release date". Android Headlines. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Google Pixel 10 Specs". Android Authority. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Pixel 10 Pro Review". The Verge. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya