Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Paul Zoungrana

Paul Zoungrana, M.Afr. (3 Septemba 19174 Juni 2000) alikuwa Kardinali kutoka Burkina Faso wa Kanisa Katoliki.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Ouagadougou kuanzia 1960 hadi 1995, na aliteuliwa kuwa Kardinali mwaka 1965.[1]

Marejeo

  1. TIME Magazine. The Bishops and Birth Control 3 November 1980
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya