Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Paul Tighe

Paul Desmond Tighe (alizaliwa 12 Februari 1958) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Eire.

Amehudumu kama Katibu wa Sehemu ya Utamaduni ya Dicastery ya Utamaduni na Elimu tangu 2022. Aliteuliwa kuwa Askofu wa jimbojina la Drivastum na Papa Fransisko mwaka 2016.[1][2]

Marejeo

  1. "Secretary". Dicastery for Culture and Education. Iliwekwa mnamo 2023-03-09.
  2. White, Christopher (19 Januari 2023). "Is the Vatican really the headquarters of the Catholic Church?". NCR (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-09.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya