Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Muhammad I Pasha

Muhammad I Pasha alikuwa Pasha katika utawala wa Algeria kutoka 1566.[1]Alikuwa mwana wa Pasha maarufu wa Algiers Salah Rais.[1]

Alikuwa imara katika kupanua Algiers na kujenga ngome kadhaa. Alifuatwa na Uluç Ali Reis, maharamia maarufu wa asili ya Italia.

Marejeo

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muhammad I Pasha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya