Modest Petrovitch Mussorgsky (1 Machi 1839 - 28 Machi 1881) alikuwa mtunzi wa Opera kutoka nchini Urusi. Alikuwa maarufu sana kwa opera zake na nyimbo zilizo safi kwa mandhari ya Kirusi.