Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Michael Smith (askofu)

Michael Smith KC*HS (alizaliwa 6 Juni 1940) ni Askofu Mstaafu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Meath, Ireland.

Alipadrishwa tarehe 9 Machi 1963 katika Kanisa Kuu la Roma la Mtakatifu Yohane huko Laterani na Kardinali Luigi Traglia, Kardinali-Askofu wa Albano. Siku iliyofuata, tarehe 10 Machi 1963, aliongoza misa yake ya kwanza katika Kanisa la Clementine, lililo chini ya Altare Kuu katika Basilika la Mt. Petro.

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya