Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Michael Shirima

Michael Ngaleku Shirima (amezaliwa 1943) ni Mtanzania mfanyabiashara, mjasiriamali, na mfadhili. Ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa sasa wa Precision Air, shirika la binafsi kubwa zaidi la ndege nchini Tanzania.[1]

Marejeo

  1. "Zambia : Tanzanian airline eyes Zambia" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-07-24.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya