Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Michael Levytsky

Undani ya kanisa la Dormition of Mother of God katika Univ Lavra, ambapo KaRdinali Levytsky amezikwa.

Michael Levytsky (17 Februari 177414 Januari 1858) alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina kuanzia 1816 hadi kifo chake mwaka 1858 na pia Kardinali wa Kanisa Katoliki.

Alitoka katika familia ya mapadri wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina.[1]

Marejeo

  1. Pelesz, Julian (1881). Geschichte der Union der ruthenischen Kirche mit Rom. Woerl. ku. 899, 950.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya