Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Michael Ekwoyi Apochi

Michael Ekwoyi Apochi (alizaliwa 1960 huko Ichama) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Nigeria aliyewahi kuhudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Otukpo.

Aliteuliwa kuwa askofu mwaka 2002.[1]

Marejeo

  1. "Diocese of Otukpo". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya