Hakuna habari kuhusu tabia za kikemia za Meitneri maana inaweza kutengenezwa tu kwenye maabara kwa viwango vidogo sana lakini kwa gharama kubwa, na baada ya kutengenezwa haidumu, maana atomu zake zinaachana haraka katika muda wa sekunde kadhaa.
Marejeo
↑Münzenberg, G.; Armbruster, P.; Heßberger, F. P.; Hofmann, S.; Poppensieker, K.; Reisdorf, W.; Schneider, J. H. R.; Schneider, W. F. W.; Schmidt, K.-H. (1982). "Observation of one correlated α-decay in the reaction 58Fe on 209Bi→267109". Zeitschrift für Physik A. 309 (1): 89. Bibcode:1982ZPhyA.309...89M. doi:10.1007/BF01420157.
↑ 2.02.1Barber, R. C.; Greenwood, N. N.; Hrynkiewicz, A. Z.; Jeannin, Y. P.; Lefort, M.; Sakai, M.; Ulehla, I.; Wapstra, A. P.; Wilkinson, D. H. (1993). "Discovery of the transfermium elements. Part II: Introduction to discovery profiles. Part III: Discovery profiles of the transfermium elements". Pure and Applied Chemistry. 65 (8): 1757. doi:10.1351/pac199365081757. (Note: for Part I see Pure Appl. Chem., Vol. 63, No. 6, pp. 879–886, 1991)
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Meitneri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.