Mchai (Camellia sinensis)
|

Majani ya mchai
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Plantae (Mimea)
|
(bila tabaka):
|
Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
|
(bila tabaka):
|
Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
|
(bila tabaka):
|
Asterids (Mimea kama alizeti)
|
Oda:
|
Ericales (Mimea kama mdambi)
|
Familia:
|
Theaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mchai)
|
Jenasi:
|
Camellia L.
|
Spishi:
|
C. sinensis (L.) Kuntze
|
Visawe:
|
- C. angustifolia Hung T. Chang
- C. arborescens Hung T. Chang & F. L. Yu
- C. assamica (J. W. Masters) Hung T. Chang
- C. dehungensis Hung T. Chang & B. H. Chen
- C. dishiensis F. C. Zhang et al.
- C. longlingensis F. C. Zhang et al.
- C. multisepala Hung T. Chang & Y. J. Tang
- C. oleosa (Loureiro) Rehder
- C. parvisepala Hung T. Chang.
- C. parvisepaloides Hung T. Chang & H. S. Wang.
- C. polyneura Hung T. Chang &
- C. thea Link
- C. theifera Griffith
- C. waldeniae S. Y. Hu
- Thea assamica J. W. Masters
- Thea bohea L.
- Thea cantonensis Loureiro
- Thea chinensis Sims
- Thea cochinchinensis Loureiro
- Thea grandifolia Salisbury
- Thea olearia Loureiro ex Gomes
- Thea oleosa Loureiro
- Thea parvifolia Salisbury (1796), not Hayata (1913);
- Thea sinensis L.
- Thea viridis L.
- Theaphylla cantonensis (Loureiro) Rafinesque
|
|
Mchai (Camellia sinensis) ni kichaka ambacho majani, na pengine matawi, yake hutumika kutengeneza chai. Spishi hii inatoka Asia ya Mashariki, ya Kusini-Mashariki na ya Kusini, lakini sikuhizi hupandwa mahali pengi pa kanda tropiki na nusutropiki.
Picha
|
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchai kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|