Long Long Time AgoLong long time ago ni filamu ya nchini Singapore iliyotoka mwaka 2016 ikiongozwa na Jack Neo. Filamu hio inahusisha maadhimisho ya miaka 50 ya Singapore ikisheheni nyota kama Aileen Tan, Mark Lee na Wang Lei kama waigizaji wakuu.Filamu hio ilitolewa Tarehe 4 Februari 2016 nchini Singapore. Ikiwa ni filamu ya kwanza katika mfuatano wa filamu za Long long time ago,ikifuatiwa na filamu iitwayo Long Long Time Ago 2 (2016).
WaigizajiAileen Tan kama Lim Zhao Di Mark Lee kama Lim Ah Kun, mdogo wake Zhao Di Wang Lei kama Si Shu, Baba yake na Zhao Di Ng Suan Loi kama Si Shen,Mama yake na Zhao Di Charmaine Sei kama Ah Feng,Mke wa Ah Kun Benjamin Josiah Tan kama Lim Ah Hee, Mdogo wake na Zhao Di ambae ni miongoni mwa wanakikundi wa kwanza wa kikundi cha wanajeshi wa taifa Ryan Lian kama Ah Long, Mhalifu Yan Li Xuan kama young Su Ting, Binti mkubwa wa Zhao Di Suhaimi Yusof kama Osman, Muuzaji wa vyakula wa Malay Nurijah binte Sahat kama Fatimah,Mke wake na Osman Silvarajoo Prakasam kama Shamugen Bharathi Rani kama Rani, Mtoto wa Shamugen Ezekiel Chee Siaw Ee John Cruz Tay Roy Li Yan Li Ming Jack Neo Irene Kng Yoo Ah Min Henry Thia Cheah Gim Hin Justin Dominic Misson Tosh Zhang Wang Weiliang Joshua Tan Jaspers Lai
Marejeo
|