Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Kiwinye

Kiwinye (pia Kikolsi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wawinye. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiwinye imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwinye iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwinye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya