Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Kivengo

Kivengo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wavengo. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kivengo imehesabiwa kuwa watu 27,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivengo iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivengo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya