Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Kikaili cha Unde

Kikaili ya Unde (pia Kibanava) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaili kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikaili ya Unde imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaili ya Unde iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaili cha Unde kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya