KigusiiKigusii ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wakisii. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kigusii imehesabiwa kuwa watu 2,205,000. Pia kuna wasemaji 300 tu nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kigusii iko katika kundi la E40. Hasa Kigusii huzungumzwa eneo la Kisii ambalo makao yake makuu ni Mji wa Kisii (kati ya Ziwa Victoria na mpaka wa Kenya-Tanzania) katika Mkoa wa Nyanza. AinishoKigusii imeainishwa kama lugha ya Bantu ya Kati, kundi moja na Lugha ya Kikuria, kundi ambalo limepewa anwani ya E.10 katika makala ya Aina za Lugha za Bantu yaliyotungwa na Malcolm Guthrie. Lugha zinazofanana zinapatikana nchini Tanzania nazo ni: SautiSauti za Gusii takribani zote zinaambatana na irabu. IrabuLugha ya Kisii ina irabu saba, zingine zikiundwa kutokana na urefu wa kuzitamka. Kwa mfano, maneno 'bora' (kosekana) na 'boora' (sema) yanatofautishwa tu na urefu wa irabu 'o' n 'oo'.
KonsonantiKatika jedwali lifuatalo, alama za uandishi ambazo hutofautiana na zile za Alfabeti ya Kimataifa (IPA) zimewekewa mabano. palipo na alama mbili pamoja, ya kulia inaashiria konsonanti inavyotamkwa.
Mofolojia ifuatayo pia inatumika:
MarejeoBickmore, Lee
Cammenga, Jelle
Whiteley, Wilfred H.
Viungo vya Nje
Kusikiza
Tazama Pia |