Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Ján Chryzostom Korec

Ján Chryzostom Korec, S.J. (22 Januari 192424 Oktoba 2015) alikuwa mtawa wa Shirika la Yesu (Jesuits) kutoka Slovakia na kardinali wa Kanisa Katoliki. Aliteuliwa kuwa padre mwaka 1950 na baadaye alitawazwa kuwa askofu mwaka 1951.

Kwa sababu ya kukandamizwa kwa Kanisa Katoliki na serikali, alifanya kazi ya uchungaji kwa muda wa miaka 39 bila idhini ya serikali, ama akiwa jela ama akijikimu kwa kufanya kazi ya mikono.

Mwaka 1990, Papa Yohane Paulo II alimteua kuwa Askofu wa Nitra na mwaka 1991 alimteua kuwa kardinali.

Korec alistaafu mwaka 2005 na alifariki mwaka 2015.[1]

Marejeo

  1. Haberman, Clyde (21 Aprili 1990). "John Paul Visits a New Prague Today". The New York Times. Iliwekwa mnamo 24 Oktoba 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya