Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Jeremari wa Fly

Sanamu yake katika kanisa la monasteri yake.

Jeremari wa Fly (Vardes, karne ya 7 - Saint-Germer-de-Fly, 30 Desemba 658) alikuwa abati wa monasteri aliyoianzisha karibu na Beauvais, leo nchini Ufaransa, mwaka 655, baada ya kuacha cheo chake katika ikulu na familia yake[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waortodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

Tanbihi

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-22. Iliwekwa mnamo 2020-12-22.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/83440
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya