Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Jean Jadot

Jean Jadot (23 Novemba 190921 Januari 2009) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ubelgiji aliyewahi kuhudumu kama Balozi wa Papa nchini Marekani (akiwa wa kwanza ambaye si Mwitalia kushika wadhifa huo) kuanzia mwaka 1973 hadi 1980, na kama rais wa Sekretarieti ya Wasio Wakristo kuanzia 1980 hadi 1984.[1]

Marejeo

  1. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la LX. 1968. uk. 365. Iliwekwa mnamo 25 Novemba 2019.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya