Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Jakarta

Jiji la Jakarta
Nchi Indonesia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 8 792 000
Tovuti:  www.jakarta.go.id/
Ramani ya Indonesia inayoonyesha mahali pa Jakarta

Jakarta (zamani iliitwa Batavia) ni mji mkuu wa Indonesia. Iko kwenye kisiwa cha Java, na mahali pake ni 6, 11, Kusini, na 106, 50, Mashariki. Ukubwa wa eneo lake ni 661.52 km². Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 8,792,000 (mwaka wa 2004).

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jakarta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya