Jina la GETVALUE linatokana na malengo ya Gaston Jackson Ngailo kuwa kila mtu atakayepata fursa ya kutumia GETVALUE basi apate thamani. Neno GETVALUE ni muunganiko wa maneno mawili ya lugha ya Kiingereza yaani neno “GET” likimaanisha “PATA” na neno “VALUE” likimaanisha “THAMANI”.Hivyo lengo ni muunganiko wa maneno hayo mawili kumaanisha "PATA THAMANI".[1]
Kwa sasa, GETVALUE imejikita zaidi katika kuuza vitabu. Kunapatikana aina mbalimbali za vitabu kuanzia vya ukufunzi wa maisha ,fedha , riwaya, dini, ualimu, ujenzi na ujasiriamali.
Kwa kutumia GETVALUE, unaweza kupata nakala laini ya kitabu mahali popote pale duniani. Pia mtandao unatoa huduma ya vitabu kwa njia ya sauti.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu GetValue kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.