Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Gerald Edelman

Gerald M. Edelman, 2010.

Gerald Maurice Edelman (amezaliwa 1 Julai 1929) ni daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kingamwili mbalimbali. Mwaka wa 1972, pamoja na Rodney Porter alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gerald Edelman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya