Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Fandango Media

Makao makuu ya Fandago

Fandango Media, LLC ni kampuni ya tiketi za filamu kutoka Marekani ambayo inauza tiketi za sinema kupitia tovuti yao na programu ya simu. Pia ina Fandango at Home (ambayo hapo awali ilijulikana kama Vudu), duka la video la mtandaoni na huduma ya kuangalia mtandaoni, pamoja na Rotten Tomatoes, ambayo hutoa taarifa kuhusu televisheni na vyombo vya habari vya mtandaoni.

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fandango Media kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya