Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Eustokia Calafato

Eustokia Calafato katika mchoro unaotunzwa huko Vatikano.

Eustokia Smeralda Calafato wa Messina, Italia (25 Machi 1434 - 20 Januari 1485).

Alikuwa mmonaki, halafu abesi katika Shirika la Mtakatifu Klara ambaye alijitahidi kwa ari sana kurudisha nidhamu asili za kitawa na kuhamasisha ufuasi wa Kristo kadiri ya Fransisko wa Asizi [1].

Alizaliwa akafariki katika mji huo. Maiti yake haijaoza.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu bikira tarehe 11 Juni 1988.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

  • "Eustochia Calafato". Patron Saints Index. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-19. Iliwekwa mnamo 2007-12-12.
  • http://www.vatican.va/news_services/liturgy/saints/ns_lit_doc_19880611_calafato_it.html Maisha yake kwa Kiitalia
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya