Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Emmanuel Alex Mapunda

Emmanuel Alex Mapunda (10 Desemba 193516 Mei 2019) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Tanzania.

Alikuwa askofu mwasisi wa Jimbo Katoliki la Mbinga katika Jimbo Kuu la Songea. Aliteuliwa kushika wadhifa huo mwaka 1986 na aliutumikia hadi alipostaafu kutokana na umri wake mwaka 2011.

Alifariki dunia tarehe 16 Mei 2019 akiwa na umri wa miaka 83.[1][2]

Marejeo

  1. David M. Cheney (8 Oktoba 2024). "MicroData Summary: Bishop Emmanuel Alex Mapunda (born 10 December 1935; died 16 May 2019), Bishop Emeritus of Mbinga". Catholic-Hierarchy.org. Kansas City. Iliwekwa mnamo 19 Januari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Sarah Pelaji; Tanzania Episcopal Conference (31 Mei 2019). "Tanzania: Late Bishop Emeritus Mapunda Laid to Rest". Association of Member Episcopal Conferences in Eastern Africa (AMECEA). Nairobi, Kenya. Iliwekwa mnamo 19 Januari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya