Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Edwin Michael Conway

Edwin Michael Conway (6 Machi 19349 Agosti 2004) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Chicago, Illinois, kuanzia mwaka 1995 hadi 2004.[1]

Marejeo

  1. James Janega (2004-08-10). "Bishop Edwin M. Conway, 70". Chicago Tribune. Iliwekwa mnamo 2013-07-16.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya