Ivana Zelníčková (m. 1977–1992) «start: (1977-04-07)–end+1: (1993)»"Marriage: Ivana Zelníčková to Donald Trump" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Donald_Trump)
Marla Maples (m. 1993–1999) «start: (1993-12-20)–end+1: (2000)»"Marriage: Marla Maples to Donald Trump" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Donald_Trump)
Melania Knauss (m. 2005–present) «start: (2005-01-22)»"Marriage: Melania Knauss to Donald Trump" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Donald_Trump)
Donald Trump ni mtoto wa pili kati ya watano wa mfanyabiashara Fred Trump, tajiri wa mali nyingi isiyohamishika, na Mary. New York Times ilihitimisha kwamba Donald "alikuwa milionea akiwa na umri wa miaka 8,"[1] na kwamba alikuwa amepokea sawa na dola milioni 413 kutoka enzi ya biashara ya baba yake.[2] Kulingana na gazeti la Times, Fred Trump alikopesha angalau dola milioni 60 kwa mtoto wake, ambaye kwa kiasi kikubwa alishindwa kumlipa.[1]
Baadaye Trump alianza harakati mbalimbali, haswa kwa kutoa jina lake kwa leseni. Alitengeneza na kukaribisha kipindi cha Mwanafunzi, kipindi halisi cha runinga, kuanzia mwaka2003 hadi 2015. Mwaka 2019, Forbes alikadiria kipato chake kuwa na thamani ya dolabilioni 3.1.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Donald Trump kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.