Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Danny Meagher (askofu)

Daniel Joseph Meagher (alizaliwa 10 Novemba 1961) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Australia. Amehudumu kama Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Kikatoliki la Sydney tangu 2021.

Kabla ya uteuzi huo, alikuwa padri wa parokia ya All Hallows' katika Five Dock, na alitawazwa kuwa askofu mnamo 8 Desemba 2021.[1]

Marejeo

  1. "Fr Danny Meagher named Auxiliary Bishop of Sydney - Catholic Church in Australia". catholic.org.au. Iliwekwa mnamo 2021-11-19.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya