Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Cuthbert Joseph Obwangor

Tarehe ya kuzaliwa1 Novemba 1920
Mahali pa kuzaliwaKiiya, Omasia Parish, Magoro, Wilaya ya Katakwi, Uganda
Tarehe ya kifo19 Mei 2012
Mahali pa kifoOmodoi, Soroti, Uganda
TaifaMganda
ElimuSeminary ya Nyenga, Namilyango College, City College Coventry
KaziMwanasiasa, Waziri
WadhifaWaziri wa Mambo ya Ndani wa Uganda (1962 – 1964)

Waziri wa Sheria na Katiba (1964 – 1966)
Waziri wa Biashara na Viwanda (Mei 1966 – Desemba 1969)
Waziri wa Nyumba na Kazi (Februari 1966 – Mei 1966)
Mbunge wa Teso (1962 – 1969)

Mjumbe wa Baraza la Kutunga Sheria (1952 – 1962)
MtanguliziFrancis Muthaura (kwa nafasi ya Katibu Mkuu EAC; kwa wizara aliyeanzisha nafasi ya Mambo ya Ndani)
MrithiBasil Kiiza Bataringaya (Mambo ya Ndani)
Nafasi ilibaki wazi (Sheria na Katiba)
Chama cha kisiasaKenya African National Union (1947–1951)

Uganda National Congress (1954–1960)
Uganda People’s Congress (1960–1982; 2001–2012)
Democratic Party (Uganda) (1982–1984)
Nationalist Liberal Party (1984–1986)

National Resistance Movement (1986–2001)
MkeAnna Maria Abura
WatotoTeresa Regina Aguti, Angela Margaret Itinot, David William Akotoi, Elizabeth Atekit, Rosemary Atim, Mary Immaculate Kwapi, Margaret Abura, Magdalene Among
WazaziAruo Nicodemus na Martha Atekit

Cuthbert Joseph Obwangor (1 Novemba 1920 - 19 Mei 2012) alikuwa waziri na mbunge wa muda mrefu wa Uganda.

Alikuwa waziri na mfungwa wa kisiasa wa utawala wa Apollo Milton Obote baada ya kupinga Obote kuongezwa mamlaka huku Obwangor akiwa waziri.[1][2]

Kwa kabila na Mwiteso.[3]

Marejeo

  1. Mubangizi, Michael (22 Mei 2012). "Feature: The life and times of Cuthbert Obwangor". The Observer. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Who's Who in East Africa 1967–68 (tol. la First). Nairobi: Marco Publishing Ltd, Nairobi. 1968. uk. 238.
  3. Odongtho, Charles. "Museveni Mourns Former Minister Obwangor". Uganda Radio Network. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cuthbert Joseph Obwangor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya