Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Control Machete

Picha ya tamasha ya Fermin IV mnamo 2005
Control Machete
Asili yake Monterrey, Nuevo León, Mexiko
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1996–2004
Studio Sony Music
Universal Music Group
Ame/Wameshirikiana na Cartel de Santa, Babo, Dharius, Molotov, Cypress Hill, Kinto Sol, Snoop Dogg, Dr. Dre, Akwid, Locura Terminal, Tupac Shakur, Dyablo, C-4
Wanachama wa sasa
Fermín IV
Pato Machete
DJ Toy


Control Machete ilikuwa kundi la hip hop kutoka Monterrey, Nuevo León, Mexiko. Wao ni waanzilishi wa hip hop ya Mexiko. Wameuza nakala 500,000 za albamu Mucho Barato.

Diskografia

  • Mucho Barato (1996)
  • Artillería Pesada presenta (1999)
  • Solos Para Fanáticos (2002)
  • Uno, Dos:Bandera (2003)

Marejeo

Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya