Coleman Randolph Hawkins (21 Novemba 1904 – 19 Mei 1969) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Alikuwa anapiga muziki ya jazz.