Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Col Joye

Colin Frederick Jacobsen (13 Aprili 19365 Agosti 2025), maarufu kwa jina lake la kisanii Col Joye, alikuwa mwimbaji na mwanzilishi wa muziki wa rock nchini Australia, mwanamuziki na mfanyabiashara ambaye alifanya kazi kwa karibu miaka sitini na saba, kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1950. Joye alikuwa mwimbaji wa kwanza wa rock and roll nchini Australia kupata wimbo nambari moja nchini kote, na alipata mafanikio mengi kwa nyimbo zake kushika namba za mwanzo katika chati za nyimbo za muziki wa rock and roll nchini Australia, akishirikiana na bendi yake ya Joy Boys (awali iliitwa KJ Quintet).[1] [2][3]

Marejeo

  1. "GO-SET Magazine's Number One Singles in Australia 1966–1974". Poparchives.com.au. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Mei 2011. Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Laird, Ross. "The First Wave: Australian rock & pop recordings, 1955-1963" (PDF). Subtitled "A complete discography, including listings of newsreel and television footage, documentation and other archival materials held by ScreenSound Australia.
  3. "The Sapphires – Aberdeen (Abilene) (1962, Vinyl)". Discogs (kwa Kijerumani). 25 Juni 2022. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Col Joye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya